Dr wilbrod slaa biography of rory
Dr wilbrod slaa biography of rory mcilroy...
Willibrod Peter Slaa
Willibrod Peter Slaa (alizaliwa Kwermusi, wilaya ya Mbulu, 29 Oktoba1948) ni mwanasiasa wa Tanzania.
Alikuwa katibu mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), chama kinachoongoza mpaka sasa kambi ya upinzani katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hadi alipojiuzulu nafasi ya ukatibu mkuu na uanachama wa Chadema mwaka 2015 baada ya ujio wa waziri mkuu mstaafu Edward Lowassa ambaye alipewa nafasi ya kugombea urais mwaka huo.
Dr wilbrod slaa biography of rory
Alikuwa mgombea wa urais wa chama hicho katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2010 na kushika nafasi ya pili kwa asilimia 27.05 ya kura zote, akiachwa na Jakaya Kikwete wa CCM aliyeongoza kwa kupata asilimia 62.83, kadiri ya matokeo rasmi ambayo hayajasadikiwa na wananchi wote.
Kabla ya kugombea urais mwaka 2010 alikuwa mbunge wa Karatu miaka 1995-2010; baada ya kugombea urais akawa si mbunge tena.
Elimu
Willibrod Slaa alisoma shule ya msingi Kwermusi iliyoko wilayani Mbulu miaka 1958-1961 na baadaye shule ya kati (mi